MASESE MICROFINANCE COMPANY LIMITED

S.L.P 200, Kisesa-Magu, Mwanza — Tanzania

Simu: 0793 581 811 / 0793 211 694  |  Email: masesemicrofinanceltd@gmail.com

FOMU YA MAOMBI YA MKOPO

Fomu hii ya maombi ya mkopo imewasilishwa leo tarehe 17 mwezi September mwaka 2026

1. Taarifa Binafsi ya Mkopaji
ME KE Nyingine
Kumiliki   Amepanga
Hajaoa/Kuolewa Ameoa/Ameolewa Ameachika Mjane/Mgane Ametengana Kampuni
NIDA
2. Taarifa ya Ajira kwa Mfanyakazi
3. Taarifa za Mkopo
NDIYO HAPANA
4. Mali Anazomiliki Mkopaji
5. Vigezo na Masharti ya Mkopo ya MASESE MICROFINANCE LIMITED

Kwa kuweka Sahihi yangu kwenye Fomu hii ya Maombi ya Mkopo ninathibitisha kwamba nimesoma na kuelewa vigezo na masharti ya Mkopo na ninakubali bila masharti yoyote.

Ninakubali kuilipa MASESE MICROFINANCE LIMITED gharama zote zinazohusuiana na ukusanyaji wa deni langu, gharama za kisheria kwa hatua yoyote itakayochukuliwa dhidi yangu.

Malipo yote ya mkopo na riba yatafanyika moja kwa moja kwenye ofisi ya MASESE MICROFINANCE LIMITED au kwa njia ya Account ya Benki, M-PESA / AIRTEL MONEY / AZAM PESA.

MASESE MICROFINANCE LIMITED inaweza ikakuhitaji uweze kuwa na Bima ya Mali na/au Bima ya Maisha wakati wote wa mkopo.

6. Tamko la Mkopaji

Mimi , nikiwa na akili timamu ninathibitisha kwamba taarifa niliyoitoa katika fomu hii ya mkopo ni ya kweli, kweli tupu. Ninaruhusu MASESE MICROFINANCE LIMITED iweze kupata taarifa nyingine yoyote inayohusu ajira/biashara yangu.

Sahihi ya Mkopaji     DOLE GUMBA

Tarehe: _____ / _____ / 20_____

7. Udhamini wa Mkopo na Dhamana
#Jina Kamili la MdhaminiNamba ya NIDASimuKaziAnwaniSahihi
1                              
2
3
8. Ruhusa ya Mkopaji

Mimi, ambae ni mwajiriwa/mteja katika: mwenye Account Na. ninakuruhusu kulipa moja kwa moja kiasi cha TZS ya mshahara wangu kwa MASESE MICROFINANCE LIMITED.

Sahihi ya Mkopaji

Tarehe: _____ / _____ / 20_____

Kipato kwa Mwezi: TZS ______________

Kwa Matumizi ya Ofisi Tu